Ni kitabu kizuri ambacho kinatufundisha namna ya kuwa wavumilivu katika kuyashinda maumivu yanayosababishwa na matukio mabaya katika maisha yetu ya Kila siku.nimefurahi pale mwandishi aliposema ,pamoja na mateso ,na unyanyasaji wa kimwili hakuvunjika moyo ,hivyo kwa sababu ya nidhamu binafsi,ushupavu wangu na kufanya kazi kwa bidii ilimuongezea kukua kiakili ilipelekea kuyashinda mabaya yote yaliyotokea.