Simply the most powerfull Jesus film/show of all time. "Kama jinsi baba yangu kanipa mimi huu ufalme, ndivyo nami nitawapa ninyi utawala. Mtakula na kunywa mezani pangu, katika ufalme wangu, na mtaketi katika viti vya enza kuyaukumu makabila kumi na mawili ya Israeli." Jesus of Nazareth.